
LIMENIUMIZA
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2025
Lyrics
LIMENIUMIZA - Toxic Fuvu
...
Acha nikuite rajabu tu nadhani itamake sense engine wanakuita konde engine wanakuita jeshi moja ya kazi ya jesh kulinda mipaka kuweka peace ila bro umevuka mipak angu hii sio fresh
Dah hakuna ambay hajui namkubali vp abby nishatuma tuma sana Dm zikawa hazijibiwagi nishamweka ata DP nikapoteza mademu wanao nicrash mim tena wakaw hawanisifiagi saw
kipesa umenizid kweli ata kimwil we nibig kwa hill ata nikivuta pictures wala haiji
ata kam ni upwiru si ungemtafuta at Gigy nimeamin mwanamke hutamwelew⁸ ata ukipew coz utajipamba uwe bitoz unamwacha a huge adi ngozi
Ivunaenda kwao na suti ya kwazima mixer maua rose
alafu anakuja kumpenda mtu kisa kikohozi
Navunjwa moyo na ndo mwaka nimeuanza
cjui uko mbele kam ntamilik ata kiwanj
umepoteza sifa ako yakuwa tembo bro
sikuiz umekuwa mwew unadili na vifaranga
see lyrics >>Similar Songs
More from Toxic Fuvu
Listen to Toxic Fuvu LIMENIUMIZA MP3 song. LIMENIUMIZA song from album LIMENIUMIZA is released in 2025. The duration of song is 00:02:16. The song is sung by Toxic Fuvu.
Related Tags: LIMENIUMIZA, LIMENIUMIZA song, LIMENIUMIZA MP3 song, LIMENIUMIZA MP3, download LIMENIUMIZA song, LIMENIUMIZA song, LIMENIUMIZA LIMENIUMIZA song, LIMENIUMIZA song by Toxic Fuvu, LIMENIUMIZA song download, download LIMENIUMIZA MP3 song
Comments (20)
New Comments(20)
Sebastian Tz
yasin mpupa
wemkali toxic fuvu nataka bato la free styl
Haruna iddyu61qs
daah. ili limmakonde bhna limekuja kumtibua brother yanguu lione na lilivyooo suka ka lichizi vile. linapenda mizigo mikubwaaa nyau wewe
John sixteen
mzee wa mizigo [0x1f602][0x1f602]
dj kwiro
pole
MUSSA LUCASia9z4
mbn mwana anaenda na punchline za stamina
Colya11
Kulia lia nako miyeyushoo Nunaa mzee
Joe young tz
i feel pain with u broo
big brain
■■
It's really hurt...[0x1f63d]
Exodus16
Sasa gigy anakosa gan bro
queen_dynamic
[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
Ammy midori
mbona umemtusi kajala
Balaa kaka