Mipango Ya Mungu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Mipango ya Mungu si ya mwanadamu
Akisema ndio ni ndio
Yeye ajuwae yote ya kesho
Mtegemee leo na milele
Palikua mmutu moja,
Mungu kamwambia uende Ninawi
Ondoka uitangaze ijili yangu kwa watu wote
Watubu zambi zao zote
Yona alitaka kukimbia, mbali na sauti ya Bwana
Bahari ika tchafuka,
Yona akatupwa na akamezwa
see lyrics >>Similar Songs
More from Marko Kisose
Listen to Marko Kisose Mipango Ya Mungu MP3 song. Mipango Ya Mungu song from album Mipango Ya Mungu is released in 2024. The duration of song is 00:02:45. The song is sung by Marko Kisose.
Related Tags: Mipango Ya Mungu, Mipango Ya Mungu song, Mipango Ya Mungu MP3 song, Mipango Ya Mungu MP3, download Mipango Ya Mungu song, Mipango Ya Mungu song, Mipango Ya Mungu Mipango Ya Mungu song, Mipango Ya Mungu song by Marko Kisose, Mipango Ya Mungu song download, download Mipango Ya Mungu MP3 song