Mama (feat. Fredy Music)
- Genre:Jazz
- Year of Release:2024
Lyrics
Mama (feat. Fredy Music) - Omma Lee
...
japo simu ushaipokea naomba tuongee. maana mwanao nina machungu sana naomba unisikie kweli najua hali yetu ngumu sana lakini usilie huku mjini mwanao napambana kidogo nikuletee
uzuri mama ulinifunza kazi ngumu nikayajua majukumu nikikosa sipaswi kulaumu mungu ndio mwenye wakati muhimu kazi yangu naokota makopo ofisi yangu jalala nikipata chakula ni ukoko na mikate ya jalala mama kweli namisi home ila kuja ni msala natafuta japo vinakataa mama nirudi na hela
Similar Songs
More from Omma Lee
Listen to Omma Lee Mama (feat. Fredy Music) MP3 song. Mama (feat. Fredy Music) song from album Mama (feat. Fredy Music) is released in 2024. The duration of song is 00:03:39. The song is sung by Omma Lee.
Related Tags: Mama (feat. Fredy Music), Mama (feat. Fredy Music) song, Mama (feat. Fredy Music) MP3 song, Mama (feat. Fredy Music) MP3, download Mama (feat. Fredy Music) song, Mama (feat. Fredy Music) song, Mama (feat. Fredy Music) Mama (feat. Fredy Music) song, Mama (feat. Fredy Music) song by Omma Lee, Mama (feat. Fredy Music) song download, download Mama (feat. Fredy Music) MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
OchoiPeninah
mimarty
daa umenifanya nimelia kaka [0x1f653][0x1f653][0x1f653][0x1f653][0x1f653]
qn lee
aisee ngoma kali bigup[0x1f627]
Kali sana hadi nifeel kulia