Nataka Uniinue
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Nataka Uniinue - Frida Karambu
...
Nimepambwa na mwana wa roho... uuuuuuiiiiiyeee.
ayayaaaaaaaaa
Baba Mwema naja mbele zakooo,,, nikiwa na ombi moja moyoni
maana mimi nimechoka na duniaaaaa,,,, wanadamuu wamenidhalilisha vya kutosha
ndio maana Baba nimeonelea ni kama mimi niweke tumaini langu kwako
maana wewe ni wa kikweli Yaweeeh,,,ndio maana mimi naimba,,,,,,,,
Chorus
Nataka Mungu aniinuwe... yeye mwenyewe x2
Maana mwanadamu akiniinuwaaa nitaanguka aa x2
Niinuwe wewe mwenyewe, Niinuwe wewe mwenyewe Maana mwanadamu akiniinuwa nitaanguka aa x2
see lyrics >>Similar Songs
Listen to Frida Karambu Nataka Uniinue MP3 song. Nataka Uniinue song from album Nataka Uniinue is released in 2018. The duration of song is 00:03:52. The song is sung by Frida Karambu.
Related Tags: Nataka Uniinue, Nataka Uniinue song, Nataka Uniinue MP3 song, Nataka Uniinue MP3, download Nataka Uniinue song, Nataka Uniinue song, Nataka Uniinue Nataka Uniinue song, Nataka Uniinue song by Frida Karambu, Nataka Uniinue song download, download Nataka Uniinue MP3 song