![Nataka Uniinue](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/1C/C5/rBEeqFt9KdaAbVTyAACmX26q1hg346.png)
Nataka Uniinue Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Nataka Uniinue - Frida Karambu
...
Nimepambwa na mwana wa roho... uuuuuuiiiiiyeee.
ayayaaaaaaaaa
Baba Mwema naja mbele zakooo,,, nikiwa na ombi moja moyoni
maana mimi nimechoka na duniaaaaa,,,, wanadamuu wamenidhalilisha vya kutosha
ndio maana Baba nimeonelea ni kama mimi niweke tumaini langu kwako
maana wewe ni wa kikweli Yaweeeh,,,ndio maana mimi naimba,,,,,,,,
Chorus
Nataka Mungu aniinuwe... yeye mwenyewe x2
Maana mwanadamu akiniinuwaaa nitaanguka aa x2
Niinuwe wewe mwenyewe, Niinuwe wewe mwenyewe Maana mwanadamu akiniinuwa nitaanguka aa x2
Neno lako takatifuuuu linasemaa, ukimtegemea mwanadamu utaangamiaaaa.
nami baba,nko kwako,,,, Nahitaji wewe uniinuweee
Sitaki kama ya wanadamuu,, siitaji kamweee ya wanadamuu
Haijalishi mwendo gani utapita,aaaaaaa......nitafuata wewe
Chorussss Chorussss Chorussss Chorussss
Niinuee niinuee niinuee mwenyewe...
Nibariki nibariki nibariki mwenyewe..
unipende unipende unipende mwenyewe..
instrumental instrumental instrumental..................................................