- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Utakwenda - Called To Serve Ministries
...
*UTAKWENDA by CALLLED TO SERVE MINISTRIES*
Katika maisha yangu sijawai ona,mwenye haki ameachwa ataabike,
Au watoto wake, kuombaomba mitaani
Yeye ni mwani-nifu kwa wanadamu,pendo la agape ni tabia yake
Ahadi zake zoote,anatimiiizaaa
Ukimwita anaitika,ukibisha-anafunguaa ukimwomba anasikia anaajiibu,
Atakuonyesha mambo mengi makubwa usiyoojuuaa, na utashangaa Bwana-anayokuwaaziaa,
*REFRAIN*
Yeye ni Mungu aliye-kutoa misri,anakupenda,anakujaaalii,,mbooni ya jicho lake,uko viganjani mwake,atakuhifadhi akuchukue salamaa..
*CHORUS*
see lyrics >>Similar Songs
More from Called To Serve Ministries
Listen to Called To Serve Ministries Utakwenda MP3 song. Utakwenda song from album Utakwenda is released in 2024. The duration of song is 00:06:02. The song is sung by Called To Serve Ministries.
Related Tags: Utakwenda, Utakwenda song, Utakwenda MP3 song, Utakwenda MP3, download Utakwenda song, Utakwenda song, Utakwenda Utakwenda song, Utakwenda song by Called To Serve Ministries, Utakwenda song download, download Utakwenda MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
Yungenita
Mbona kila nikidownload unafutika