![Wanaume Kama Mabinti](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/18/FC/rBEezlthuMmAX-ZsAADycZxm390875.jpg)
Wanaume Kama Mabinti
- Genre:Soul
- Year of Release:2018
Lyrics
Wanaume Kama Mabinti - Lady Jaydee
...
Mnakula kunywa na kuvaaa
Siku zinaeenda vya bure hupenda kupewa wala hamna fikira
Kila upande mnafiti siku zinaenda vichwa vimejaa ufitini wanaume kama mabinti
Ninaposema wanaume simaanishi wote ila wale wenye tabia kama za mabinti
Utawaona kwenye magari ya mademu zao
Wakitanua na kucheka utadhani yao hupenda kuwaliwaza wanama watu wazimaa
Hawana mapenzi ya kweli wanapenda pesa
Nikisema wanajiuza katu sitakoseaa
Tuwatofautishije hawa na machangu doa?
Mnakula kunywa na kuvaaa
see lyrics >>Similar Songs
More from Lady Jaydee
Listen to Lady Jaydee Wanaume Kama Mabinti MP3 song. Wanaume Kama Mabinti song from album The Best Of Lady Jaydee is released in 2018. The duration of song is 00:04:46. The song is sung by Lady Jaydee.
Related Tags: Wanaume Kama Mabinti, Wanaume Kama Mabinti song, Wanaume Kama Mabinti MP3 song, Wanaume Kama Mabinti MP3, download Wanaume Kama Mabinti song, Wanaume Kama Mabinti song, The Best Of Lady Jaydee Wanaume Kama Mabinti song, Wanaume Kama Mabinti song by Lady Jaydee, Wanaume Kama Mabinti song download, download Wanaume Kama Mabinti MP3 song
Comments (8)
New Comments(8)
Ommy Guizer
calvin zachaa
[0x1f602][0x1f601][0x1f601]
Athuman Yusuph94R.O
Ujumbe Mzuri Sana ndani ya hii Nyimbo
133419169
This song is something else
godani Msilagi
nice
Jimmy James Thomas
Aseeee....hizi ngoma zitabaki kuwa bora sana sababu wasanii zamani waliumiza vichwa kweli kweli.
emmanuelb1oms
nimekumbuka mbaliiii
Dogo Pon
[0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602]
ngoma ilipigwa miaka mingi sana na sasa tunayaona hayo mambo hakika ulitabiri [0x1f60d][0x1f60d]