Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2024

Lyrics

Nitasema ft. Raydiance - Nay Wa Mitego

...

The true boy (raisi) the strict presidents (Kamanda)

instrumental .......

Najua moyon mnaongeah ila hamtoi sauti, kwa niaba yenu mimi ni spika nikipaza sauti, kuna mficha maradhi na kuna mficha uchi, ila mficha maradhi anaumbuliwa na umauti, mbona kama nip rwanda,nipo kongo, mwanangu ananikumbusha dady mbona hii ni bongo, sikuizi kutoka nyumbani salama ni uhakika, ila kurudi nyumbani hilo halina uhakika, watu wanatekwa, watu wanapotea, watu wanapigwa risasi hakuna anayeshtakiwa,tunategemeah kukemea wanasema hizi ni drama, hivi angetekwa mwanao ungethubutu kusema drama ??

sokoni majengo ni dodoma makao makuu ni ununio alipotekwa roma kumbukumbu ni ununio akauliwa Ali kibao akatupwa ununio, atayefuata kutekwa naomba mbadilishe eneo, wanaokuja kukuteka wanakuja kama police,unatafutwa hupatikani vituo vyote vya polisi,wanaokutwa wamekufa upelelezi upo polisi,polisi wanapewa kazi wamtafute polisi, (niacheni niongee mi ndo sauti ya watu mtetezi wa watu sitaki taifa langu lipotee, maana taifa ni watu,maisha ni watu, leo nitaseema(seema)sitoacha kitu leo yote nitasema(seema)(seema) vijana viva tusilale, tupambane jahazi lisizame,tunachoomba kwenye haki tusimame atuna watetezi tujitetee aaah,

Verse 2

Nyumba imedondoka baba kijiti akashika mama, mama kweli si wanao ila jahazi linazama nawaza uwanja wa ndege,nawaza mbuga na miradi mikubwa ambayo ilijengwa na sasa haifanyi kazi marehemu hasemwi vibaya dingi alikuwa mnazi movie ya stealing wa chatu part two ni kizimkazi karibuni tubeti wadogo zangu mhaohitimu maiha mtaani yamechachuka kabla hata ya kuwekwa ndimu mapambano usiku mchana hamna kanuni wala mbinu, hakuna urafiki wala undugu kati ya mafanikio na elimu wahuni wachache wanachafua heshima ya jeshi hapa bongo najaribu kuvaa viatu vya wazazi wa binti wa yombo mlitaka afe sativa ila Mungu akamponya hiki mnachokipanda muda ukifika mtavuna yani mnajiwa mnakosea mnataka mpigiwe makofi na mkikosea tukikosoa mnatutumia polisi wanaokuja kukuteka wanakuja kama polisi, unatafutwa hupatikani vituo vyote vya polisi wanaokutwa wamekufa upelelezi upo polisi na polisi wanapewa kazi wamtafute polisi niacheni niongee mi ndo sauti ya watu mtetezi wa watu sitaki taifa langu lipotee maana taifa ni watu maisha ni watu leo nitaseema seema seema sitoacha kitu yote nitaseema seema seema vijana viva tusilale tupambane jahazi lisizame tunachoomba kwenye haki tusimame atuna watetezi tujitetee aaah ........ instrumental free nation,

Similar Songs

Listen to Nay Wa Mitego Nitasema ft. Raydiance MP3 song. Nitasema ft. Raydiance song from album Nitasema is released in 2024. The duration of song is 00:03:25. The song is sung by Nay Wa Mitego.

Related Tags: Nitasema ft. Raydiance, Nitasema ft. Raydiance song, Nitasema ft. Raydiance MP3 song, Nitasema ft. Raydiance MP3, download Nitasema ft. Raydiance song, Nitasema ft. Raydiance song, Nitasema Nitasema ft. Raydiance song, Nitasema ft. Raydiance song by Nay Wa Mitego, Nitasema ft. Raydiance song download, download Nitasema ft. Raydiance MP3 song

Comments (58)

0/500

    Top Comments (1)

    Richard Zephaniah

    ....Wimbo una ujumbe mzuri sema tu Kenge kuusikia na kuuelewa mpaka damu zimtoke masikioni......!!!>

    Tanzania

    New Comments58

    Sara Robai

    nice song

    Kenya

    sananda3leoz

    good

    Tanzania

    Vickyloader

    +2349054057078 I have an active log and ready to load money into your Eco bank account if you can provide me with any African country ecobank accounts that can take up to $10k at once and has been transacting more than $1k before I load from $5k dollars to $1million dollars Message me on Whatsapp let us discuss +2349054057078

    Nigeria

    Vickyloader

    +2349054057078 I have an active log and ready to load money into your Eco bank account if you can provide me with any African country ecobank accounts that can take up to $10k at once and has been transacting more than $1k before I load from $5k dollars to $1million dollars Message me on Whatsapp let us discuss +2349054057078

    Nigeria

    Vickyloader

    +2349054057078 I have an active log and ready to load money into your Eco bank account if you can provide me with any African country ecobank accounts that can take up to $10k at once and has been transacting more than $1k before I load from $5k dollars to $1million dollars Message me on Whatsapp let us discuss +2349054057078

    Nigeria

    Vickyloader

    +2349054057078 I have an active log and ready to load money into your Eco bank account if you can provide me with any African country ecobank accounts that can take up to $10k at once and has been transacting more than $1k before I load from $5k dollars to $1million dollars Message me on Whatsapp let us discuss +2349054057078

    Nigeria

    Francega0zs

    May God bless you and protect you ❤️

    Tanzania

    Frenk Chachaqv0ol

    Tanzania

    Tanzania

    Dominic Shaah

    bonge la songs

    Tanzania

    ibrah r washo

    kali sana

    Tanzania

    yameky

    Njoo Wasap nikueleze bure kutumia simu kukuingizia hadi elfu 30 kila siku namba 0625768502 utakuja kunishukuru

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234
            -You can log in via below methods-
            Reset password via e-mail
            -or-
            Reset password via e-mail
            Feedback on resetting password
            * It may take a longer time

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status