
Kama ni Kwangu
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Hazina za jana niliacha kuombea
Matakwa ya kesho nikikosa sitalia
Tayarisha nyayo leo mi ninatembea
Imarisha wazo lisemalo endelea
Mi siangalii nyuma tena
Sina adui nyi nyote napenda
Njia ya roho siezi poteza
Nguvu za kubuni ninaongeza
Watu kunipinga mimi sitahofia
Wengi watafuta nia watakufia
see lyrics >>Similar Songs
More from RANGItheARTIST
Listen to RANGItheARTIST Kama ni Kwangu MP3 song. Kama ni Kwangu song from album Kama ni Kwangu is released in 2024. The duration of song is 00:03:52. The song is sung by RANGItheARTIST.
Related Tags: Kama ni Kwangu, Kama ni Kwangu song, Kama ni Kwangu MP3 song, Kama ni Kwangu MP3, download Kama ni Kwangu song, Kama ni Kwangu song, Kama ni Kwangu Kama ni Kwangu song, Kama ni Kwangu song by RANGItheARTIST, Kama ni Kwangu song download, download Kama ni Kwangu MP3 song