Nikumbushe (feat. Sandra Kamicha & Joyce Maina)
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Mmh nikumbushe
Mmh nikumbushe
Ujana ni maji ya moto, nisije kapiga mbizi kuogelea
Nipe malezi ka mtoto, niepushe na raha za dunia
Naogopa, huu ubatili sinibadilishe
Niko kwa noma, nipe busara ninehemeshe
Sina nyuma, mbele ni kama kiza kinene
Nakutegemea, Mola mpaji unitendee
Nafahamu ahadi zako ni kweli na amina (na amina)
Ila matatizo yanisaulisha wako wema
Basi nikumbushe
see lyrics >>Similar Songs
More from MrB Karen
Listen to MrB Karen Nikumbushe (feat. Sandra Kamicha & Joyce Maina) MP3 song. Nikumbushe (feat. Sandra Kamicha & Joyce Maina) song from album Nikumbushe (feat. Sandra Kamicha & Joyce Maina) is released in 2024. The duration of song is 00:04:28. The song is sung by MrB Karen.
Related Tags: Nikumbushe (feat. Sandra Kamicha & Joyce Maina), Nikumbushe (feat. Sandra Kamicha & Joyce Maina) song, Nikumbushe (feat. Sandra Kamicha & Joyce Maina) MP3 song, Nikumbushe (feat. Sandra Kamicha & Joyce Maina) MP3, download Nikumbushe (feat. Sandra Kamicha & Joyce Maina) song, Nikumbushe (feat. Sandra Kamicha & Joyce Maina) song, Nikumbushe (feat. Sandra Kamicha & Joyce Maina) Nikumbushe (feat. Sandra Kamicha & Joyce Maina) song, Nikumbushe (feat. Sandra Kamicha & Joyce Maina) song by MrB Karen, Nikumbushe (feat. Sandra Kamicha & Joyce Maina) song download, download Nikumbushe (feat. Sandra Kamicha & Joyce Maina) MP3 song