![Tuma pesa](https://source.boomplaymusic.com/group1/M14/4A/3E/rBEehl4hxK2AEaiLAACmqSGTx6o064.jpg)
Tuma pesa
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Nimekutumia ujumbe asubuhi
Sababu gani hujajibu sijui
Nimekupigia mara kumi na mbili
Ni kama wanipimanisha akili
Kukopa kwako kweli ni harusi
Kulipa deni kwako ni matanga
Waniogopa mie kama virusi
Na sio vita me sijabeba panga
Tuma Pesa, tuma pia ya kutoa
Tuma Pesa, tuma mie nakungoja
Tuma Pesa, tuma pia ya kutoa
see lyrics >>Similar Songs
Listen to Halisi the Band Tuma pesa MP3 song. Tuma pesa song from album Tuma Pesa is released in 2020. The duration of song is 00:03:47. The song is sung by Halisi the Band.
Related Tags: Tuma pesa, Tuma pesa song, Tuma pesa MP3 song, Tuma pesa MP3, download Tuma pesa song, Tuma pesa song, Tuma Pesa Tuma pesa song, Tuma pesa song by Halisi the Band, Tuma pesa song download, download Tuma pesa MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
Sammy Ng'ash 1
cliff kyalo
dope [0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x26a1][0x26a1][0x26a1]
Fredrick Edward 9eks
killing it niggas
Noahxile
high grade dope
high grade
Morgan Traww
dope...
true daht