![Nalisema](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/7A/9A/rBEeMVsw8hqAFGhBAADv4KIMzGk883.jpg)
Nalisema
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Nalisema - KMK MAKUBURI
...
Nalisema nitayakiri maasi yangu kwa Bwana,
Nawe,nawe ukanisamehe upotovu wa dhambi zangu(*2)
Heri aliyesamehewa dhambi na kusitiliwa makosa yake, heri Bwana asiyemuhesabia upotovu na ambaye rohoni mwake hamna hila.
Iwe sitara yangu,utanipa bila mateso, utanizungusha nyimbo za wokovu
Nalikujulisha dhambi yangu, wala sikuficha upotuvu wangu
Similar Songs
More from KMK MAKUBURI
Listen to KMK MAKUBURI Nalisema MP3 song. Nalisema song from album Mimina Neema is released in 2016. The duration of song is 00:05:16. The song is sung by KMK MAKUBURI.
Related Tags: Nalisema, Nalisema song, Nalisema MP3 song, Nalisema MP3, download Nalisema song, Nalisema song, Mimina Neema Nalisema song, Nalisema song by KMK MAKUBURI, Nalisema song download, download Nalisema MP3 song
Comments (13)
New Comments(13)
168747635
Calister Mushi
mungu awabariki sana kwa ujumbe mzuri
Gloria marandu w0584
[0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d][0x1f63e][0x1f63e][0x1f63e][0x1f63e][0x1f63e][0x1f63e][0x1f63e][0x1f63e][0x1f63e][0x1f63e][0x1f63e][0x1f63e]
Petro iw8yx
[0x1f621][0x1f60e][0x1f60e][0x1f621]
adelaat57le
[0x1f607]
mt petro
Mungu awabariki wanan choir na waumini wote wa rc
Petro iw8yx
nice
amon challe
nyimbo nzur
Roy Nyawira
[0x1f60e][0x1f60e]
Anti Bwahama
nice song
khlufani
nyimbo nzuri sana
good song God bless you