- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Mmoja Wao - TUCASA MUHAS CHOIR
...
1.Kati ya wale Kumi wenye ukoma,nami mmoja wao,
Njiani Mwokozi alituponya,nami mmoja wao,,
Ila mmoja tu ndo alirudi kwa mwokozi kwenda kushukuru,,
Bwana nifanye kwa wenye Shukrani niwe mmoja wao
2.Gideoni na wanajeshi vitani,nami mmoja wao,
Kwenda pigana na wamidiani ,nami mmoja wao
Ila mia tatu tu majasirii walienda vitani na Bwana
Bwana nifanye kwa hao Jasiri niwe mmoja wao
3.Israel toka Misri utumwani ,nami mmoja wao
Tulianza safari wengi sana,nami mmoja wao
see lyrics >>Similar Songs
More from TUCASA MUHAS CHOIR
Listen to TUCASA MUHAS CHOIR Mmoja Wao MP3 song. Mmoja Wao song from album MAHALI TULIVU is released in 2024. The duration of song is 00:02:46. The song is sung by TUCASA MUHAS CHOIR.
Related Tags: Mmoja Wao, Mmoja Wao song, Mmoja Wao MP3 song, Mmoja Wao MP3, download Mmoja Wao song, Mmoja Wao song, MAHALI TULIVU Mmoja Wao song, Mmoja Wao song by TUCASA MUHAS CHOIR, Mmoja Wao song download, download Mmoja Wao MP3 song