Ongoza Njia
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Ongoza njia zangu bwana pale ninapopitia nishike kwa mkonoo wako niongoze
ndiwe ninakutegemea kwani wewe uhodari nina kuamini yehova niongoze
Daima nitakufuata utakapo ongoza tazifuata hatua zako niende kule utakapo
Kamwe siwez kupotea hata kuanguka chini Ongoza njia zangu bwana
Daima nitakufuata utakapo ongoza tazifuata hatua zako niende kule utakapo
Kamwe siwez kupotea hata kuanguka chini Ongoza njia zangu bwana
Ebwana umenichunguza natena umenijua wajua kutoka kwangu Ewe Bwanaa nakuingia kwangu hata hilo walijua hivyo nakuaamini wewe uongoze
Daima nitakufuata utakapo ongoza tazifuata hatua zako niende kule utakapo
see lyrics >>Similar Songs
More from The Warriors' Voices
Listen to The Warriors' Voices Ongoza Njia MP3 song. Ongoza Njia song from album ONGOZA NJIA is released in 2024. The duration of song is 00:05:09. The song is sung by The Warriors' Voices.
Related Tags: Ongoza Njia, Ongoza Njia song, Ongoza Njia MP3 song, Ongoza Njia MP3, download Ongoza Njia song, Ongoza Njia song, ONGOZA NJIA Ongoza Njia song, Ongoza Njia song by The Warriors' Voices, Ongoza Njia song download, download Ongoza Njia MP3 song