![Futa ft. Mbosso](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/77/5D/rBEeNFsiIaKAKVKBAADiVhblGUI760.jpg)
Futa ft. Mbosso
- Genre:Pop
- Year of Release:2018
Lyrics
Futa ft. Mbosso - Bahati
...
Uuuuh uyee uuu wewe Ni Yale Yale ya ujana maji ya moto nikaupurupukia, Leo hii wawili watoto wananiangalia, na pambana sana na changamoto kuwatafutia nikikosa mzaz mwenzang anakuja moto matusi kunishushia natumia nguvu kutafuta jasho lalowesha shati chini nikiziba ufa juu linang'oka bati zile ngongongo kwa ndugu jama zishaishaga mazima miondoondo mlezi wa wana lakin zawad sina eyeee ama sauti yangu kwa Mungu baba haisikiki tuseme dua zang mbingu ya saba hazifiki yoyoyo ....futa chozi futa usiulize nalia nini futa chozi futa aisei riziki yang imepigwa pini futa chozi futa ayee leleliee futa chozi futa Mungu baba nione...........Nikiwa kazin akili zote ziko nyumbani, nikiwa nyumbani wakisuluhisha sina amani nakazana sana kimziki kweli napambana kubahatisha rizik wanaomba mabay wenye roho za choyo na ndugu zangu wakiwemo napata mfupa mi kibogoyo Mungu ameninyima meno nkitaxam watoto wangu nje ya ndoa wamezaliwa kwenye imani ya dini yangu wanasema nishakosea ....kama sauti yangu kwa Mungu baba eeeh tuseme dua zangu mbingu ya saba hazifiki baaba ....futa chozi futa kuna muda naishiwa nguvu futa chozi futa elimu sina kichwa mbumbumbu, futa chozi futa natangatanga njaa hee futa chozi futa na Mungu wangu dini yangu fungi.
Similar Songs
More from Bahati
Listen to Bahati Futa ft. Mbosso MP3 song. Futa ft. Mbosso song from album Futa is released in 2018. The duration of song is 00:02:53. The song is sung by Bahati.
Related Tags: Futa ft. Mbosso, Futa ft. Mbosso song, Futa ft. Mbosso MP3 song, Futa ft. Mbosso MP3, download Futa ft. Mbosso song, Futa ft. Mbosso song, Futa Futa ft. Mbosso song, Futa ft. Mbosso song by Bahati, Futa ft. Mbosso song download, download Futa ft. Mbosso MP3 song
Comments (55)
New Comments(55)
Morris Baron
132099100
xiidd
Mwajuma Ossur
This song is wooooooow...i keep it on....not only the message but also the beats....good work
Sylviah Musa
sweet and touching song
Brian Omwoyoe6v4t
wow wow
Ismail Kani
Hi song bahati ndio ameharibu
dannyb574i
a lovely
![Image | Boomplay Music](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/15/50010e74a79c4662bfbcaf531a36c650.jpg)
dannyb574i
kindly that song is a bit
King dijyo
wow owo wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow best song ever i really love it
b_lly
the best
faiithed3ue
kenya....nice
très cool