Mapenzi Shikamoo
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Ngoja niwape za chini ya kapeti
Kinachonifanya mi nibaki mpweke
Nilishobokea mapenzi
Mapenzi yakantia teke
Yaka nipeleka msobemsobe
Kichwa chini miguu
Miguu juu yakanilaza bila kunawa miguu
Nampa nyasi yeye hataki yake matawi ya juu
Nawakawa huku nateketea kama moto wakifuu
nawaambia uyu demu ameleta utoto
Kadata na sharobaro kisa kichwani anakokoto
Kisura cha kisomali tu roho yake ndo yakorosho
see lyrics >>Similar Songs
More from Mazegele Boy
Listen to Mazegele Boy Mapenzi Shikamoo MP3 song. Mapenzi Shikamoo song from album Mapenzi Shikamoo is released in 2024. The duration of song is 00:03:18. The song is sung by Mazegele Boy.
Related Tags: Mapenzi Shikamoo, Mapenzi Shikamoo song, Mapenzi Shikamoo MP3 song, Mapenzi Shikamoo MP3, download Mapenzi Shikamoo song, Mapenzi Shikamoo song, Mapenzi Shikamoo Mapenzi Shikamoo song, Mapenzi Shikamoo song by Mazegele Boy, Mapenzi Shikamoo song download, download Mapenzi Shikamoo MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
Victor Rabbysdox3
Suryiycoy
Nice
hatar