![Lala ft. Lody Music](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/15/ddab5e35117d4df484179f47b79fa01c_464_464.jpg)
Lala ft. Lody Music
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Lala ft. Lody Music - Suma Mnazaleti
...
Wa nini mwengine wa nini mpaka ati we ndo the one of a millioni
Kibichibichi laini yani mpya metoka kwa lyloni
Umenitupia jini nakuwaza mchana kutwa jioni
Nikiwa usingizini nakuota mwenzako
Nashindwa kulala la la la la
Siwezi lala la la la la ×2{chorus}
aaaah...chumbani ka mtoto ananifunza a be che de
Ulinzi 24 ananichunga nisitembee
Kiuno ndo msingi nazungusha apagawe
Utamu bado mwingi anajitunza asante weeeh
see lyrics >>Similar Songs
More from Suma Mnazaleti
Listen to Suma Mnazaleti Lala ft. Lody Music MP3 song. Lala ft. Lody Music song from album Lala is released in 2024. The duration of song is 00:04:13. The song is sung by Suma Mnazaleti.
Related Tags: Lala ft. Lody Music, Lala ft. Lody Music song, Lala ft. Lody Music MP3 song, Lala ft. Lody Music MP3, download Lala ft. Lody Music song, Lala ft. Lody Music song, Lala Lala ft. Lody Music song, Lala ft. Lody Music song by Suma Mnazaleti, Lala ft. Lody Music song download, download Lala ft. Lody Music MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
Moselect
Santos17
nooma Na Nuusuu.
tonny breezly
hatari
unanikumbusha mnazalet ndelee