- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Mama - Dylan tz
...
(Verse 1 )
Mmmh aaah aaah aaah nikikaa nawaza kipi nitakulipa mama kwa uliyofanya kwangu mwana mpaka leo mimi nimesimama mtoto hakui kwa mama yake ndiyo maana mpaka leo mimi nadeka kwako mimi hata sijui umuhimu wake kuishi duniani bila upendo wako mama
(Bridge)
Ulichana nguo zako mama yote kunistili mwana tena labour ulilia sana kwa uchungu kunizaa mwana
( Chorus)
Mama(aah ooh) mama haki ya Mungu nakupenda sana cha kukulipa mimi sina ila nitapambana wewe uishi vyema x2
(Verse 2)
Aayah wapo wengi hawana mama eeh katika hii dunia kama unae basi ringa nae ndiyo zawadi uliyobarikiwa hata niwe na ghorofa, gari nazo pesa bado thamani yako havitofika maana kukupoteza ndiyo kitu naogopa wewe ndiyo shina langu tawi nitadondoka
(Bridge)
Ulichana nguo zako mama yote kunistili mwana tena labour ulilia sana kwa uchungu kunizaa mwana
see lyrics >>Similar Songs
More from Dylan tz
Listen to Dylan tz Mama MP3 song. Mama song from album Mama is released in 2024. The duration of song is 00:03:27. The song is sung by Dylan tz.
Related Tags: Mama, Mama song, Mama MP3 song, Mama MP3, download Mama song, Mama song, Mama Mama song, Mama song by Dylan tz, Mama song download, download Mama MP3 song