Mama Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Mama - Dylan tz
...
(Verse 1 )
Mmmh aaah aaah aaah nikikaa nawaza kipi nitakulipa mama kwa uliyofanya kwangu mwana mpaka leo mimi nimesimama mtoto hakui kwa mama yake ndiyo maana mpaka leo mimi nadeka kwako mimi hata sijui umuhimu wake kuishi duniani bila upendo wako mama
(Bridge)
Ulichana nguo zako mama yote kunistili mwana tena labour ulilia sana kwa uchungu kunizaa mwana
( Chorus)
Mama(aah ooh) mama haki ya Mungu nakupenda sana cha kukulipa mimi sina ila nitapambana wewe uishi vyema x2
(Verse 2)
Aayah wapo wengi hawana mama eeh katika hii dunia kama unae basi ringa nae ndiyo zawadi uliyobarikiwa hata niwe na ghorofa, gari nazo pesa bado thamani yako havitofika maana kukupoteza ndiyo kitu naogopa wewe ndiyo shina langu tawi nitadondoka
(Bridge)
Ulichana nguo zako mama yote kunistili mwana tena labour ulilia sana kwa uchungu kunizaa mwana
(Chorus)
Mama(aah ooh)mama haki ya Mungu nakupenda sana(ooh nakupenda sana) cha kukulipa mimi sina(mimi sina ooh) ila nitapambana(nitapambanaa) wewe uishi vyema
mama mama(mama yangu wewe) haki ya Mungu nakupenda sana chakukulipa mimi sina ila nitapambana wewe uishi vyema( aaah mama yangu wee mama) aaah mama yako mama,mama yangu mama i love you mama, i love you mama nakupenda sana i love mama yangu
(Wapo wengi hawana mama eeh katika hii dunia kama unae basi ringa nae ndiyo zawadi uliyobarikiwa)