Upendo wa Mwokozi
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Upendo wake Mungu ni mkuu
Hakuna lugha ya kuueleza
Wala hakuna cha kulinganisha
Na upendo wake juu yetu
Aliicha enzi yake juu akashuka niokoke
Siwezi kuueleza upendo wa Mwokozi
Hakuna giza kuu ambalo
Mwanga wa upendo wake hautapenya
Hakuna moyo ulio mgumu asioweza kulainisha
see lyrics >>
Similar Songs
More from Anointed Singers Tz
Listen to Anointed Singers Tz Upendo wa Mwokozi MP3 song. Upendo wa Mwokozi song from album TUGUSE is released in 2024. The duration of song is 00:03:38. The song is sung by Anointed Singers Tz.
Related Tags: Upendo wa Mwokozi, Upendo wa Mwokozi song, Upendo wa Mwokozi MP3 song, Upendo wa Mwokozi MP3, download Upendo wa Mwokozi song, Upendo wa Mwokozi song, TUGUSE Upendo wa Mwokozi song, Upendo wa Mwokozi song by Anointed Singers Tz, Upendo wa Mwokozi song download, download Upendo wa Mwokozi MP3 song