![Utafurahi](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/72/E7/rBEeNFr5lNiATRkCAADF4odqvHY983.jpg)
Utafurahi
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Utafurahi - Guardian Angel
...
Anatengeneza ushuhuda wako ,oooh mwisho wa siku kweli utafurahi sana
Anatengeneza ushuhuda wako, oooh mwisho wa siku kweli utafurahi sana
sanaa sanaa sanaa sanaaa
utafurahi sanaaa mwishoo wa siku kweli utafurahi sanaaa.
sanaaa sanaaa sanaaa sanaaa utafurahi sanaa mwisho wa siku kweli utafurahi sanaa
Giza ni jingi wakati kunaelekea kucha, kukicha utapata mwanga utafurahi sanaa
Tatizo la mtoto naona linakukera sanaa, kukicha utapata mtoto utafurahi sanaaa
Tatizo la kazi jamani linakukwaza sanaa, kukicha utapata kazi utafurahi sanaa
Sanaa sanaaa sanaaa aaah mwisho wa siku kweli utafurahi sanaaa
see lyrics >>Similar Songs
More from Guardian Angel
Listen to Guardian Angel Utafurahi MP3 song. Utafurahi song from album Utafurahi is released in 2018. The duration of song is 00:04:00. The song is sung by Guardian Angel.
Related Tags: Utafurahi, Utafurahi song, Utafurahi MP3 song, Utafurahi MP3, download Utafurahi song, Utafurahi song, Utafurahi Utafurahi song, Utafurahi song by Guardian Angel, Utafurahi song download, download Utafurahi MP3 song
Comments (33)
New Comments(33)
Charles Omundidhz2p
Mercy Atienobbley
i love the song so much[0x1f641]
Margaret48vej
it is a wonderful song and an encouraging one
Elia Lukuwiuiwmf
right god prepare something for as
Ashley bmx8j
good and great song kuna kitu inanifunza hallelujah
142005789
ukwli mungu n mwema
linus omondieacix
Amen
Paul Amuhinda
blessed
Flavian Munyoki
such lifting song for soul to lift God high
erickczwdk
perfect work
Rose Wambuid7hsc
my favorite songs[0x1f628][0x1f623]
Kate magara
my daily stream i love guardian angel so much .....[0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f620][0x1f620][0x1f620][0x1f620] so blessed
It's a wonderful song and so encouraging.I love it so much