- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Watu - Jay Melody
...
......Jimmy x66 uyaaaaah
kama ni mapenzi yaniuwe basi yaniuwe humzigo basi unituwe,
kama Siyajui nipeleke shule baby!!kwingine sioni penzi lako lanipa upofuuwe,
kwa mikono yako nichukuwe kwenye makorongo usinituwe,
babyy me nishajigamba saana kama Sela gwajitaa
we ndo changu kipenzii nishawaambia we ndo changu kipenzii,
saa usijekunichanganya mwenzako nitakwishaa
si ushajua siwezi bila ya penzi lako mimi siwezi
"Mimi mimiii..watu mmh
nitawaambia nini watu ×3
see lyrics >>Similar Songs
More from Jay Melody
Listen to Jay Melody Watu MP3 song. Watu song from album Therapy is released in 2024. The duration of song is 00:03:10. The song is sung by Jay Melody.
Related Tags: Watu, Watu song, Watu MP3 song, Watu MP3, download Watu song, Watu song, Therapy Watu song, Watu song by Jay Melody, Watu song download, download Watu MP3 song
Comments (67)
Top Comments (2)
Music Promo Num 1
Cana Bou
Hii imeenda>
New Comments(67)
Philipz Olearapz
I salute you bro❤️❤️❤️❤️surely utaambia nn watu
Philipz Olearapz
jay melody ....i love your music❤️❤️❤️❤️
174642835
upo vizuri sana dg komaa utafika mbali
pretty _caroline
The song is nice
NasriAbdulrahman
my favorite singer is you
Ma Amani
giod music
Ebou Mg
ngoma kali
Ansammykh
amazing
[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]>