![Sitasumbuka (Wokovu 50)](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/06/ec817e3d9d274c79a71f0cbf7bb52a54_464_464.jpg)
Sitasumbuka (Wokovu 50)
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Sitasumbuka kwa kuwa Mungu ananitunza daima, anachukuwa mizigo yangu nyakati zote za mwendo.
Sijaiona nyingine siku, na jana imetoweka, na leo Mungu anazijuwa hitaji zote ninazo.
Sitasumbuka kwa kuwa Mungu ni baba yangu kabisa. Hawezi kunisahau mimi ingawa akijificha.
Sijaiona nyingine siku, na jana imetoweka, na leo Mungu anazijuwa hitaji zote ninazo.
Sitasumbuka kwa kuwa Mungu anishibisha neema, anipa yote yanifaayo kwa roho yangu na mwili.
Sijaiona nyingine siku, na jana imetoweka, na leo Mungu anazijuwa hitaji zote ninazo.
see lyrics >>
Similar Songs
More from Ben & Chance
Listen to Ben & Chance Sitasumbuka (Wokovu 50) MP3 song. Sitasumbuka (Wokovu 50) song from album Pendo La Mungu Ni Kubwa is released in 2024. The duration of song is 00:08:09. The song is sung by Ben & Chance.
Related Tags: Sitasumbuka (Wokovu 50), Sitasumbuka (Wokovu 50) song, Sitasumbuka (Wokovu 50) MP3 song, Sitasumbuka (Wokovu 50) MP3, download Sitasumbuka (Wokovu 50) song, Sitasumbuka (Wokovu 50) song, Pendo La Mungu Ni Kubwa Sitasumbuka (Wokovu 50) song, Sitasumbuka (Wokovu 50) song by Ben & Chance, Sitasumbuka (Wokovu 50) song download, download Sitasumbuka (Wokovu 50) MP3 song