Mwaaah
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Mwaaah - Moco
...
eeeh! aaah,
majengo sokoni music...
utamu wa penzi lako round two one three, Nataka niwe wako uwe wangu wifeee, ukiadithia wenzako wataanza niona hb...definition ya mapenzi mfano uko v v, mfano wewee..x4 Okey nikiss nichum mwaah! bebe nikiss nichum mwaah, baby girl i say nikiss nichum mwaah! bebe nikiss nichum mwaah! mr M nae niko na bonge mtoto kwanzia masharobaro hadi vigogo ni mboko nazurula peku mpoto nawasha mpodo nia safi iko salama zurula peku mpoto, Nasema heee! nacheki kalenda nkiona vyema ni kipenga namenya tunda kabla ya kula namla denda, si unajua muhuni akipenda na kibanda anajenga, mtoto so clean mtoto so fresh, (Mfano wewe )x4 okey nikiss nichum mwaaah! bebe nikiss nichum mwaah! baby girl i say nikiss nichum mwaah! yeah okey! yeah Me na we tunaeza kuunda team me nikawa kocha we mwalimu maana penzi lako ni wazim haunichoshi na hujawahi nikata stim so me nataka tuwe all night lonly think wat am gonna feeling oohm i say uuuugh huyu duu amenibamba kweli maana ma ninja tukipenda tunapendaga kweli, you feel me hahahaaa allright so okey nikiss nichum mwaah! uuh! so shepu mpaka lips limejaa uuh! nasimama muda wote sijui kukaa uuuh! pisto imejikoki ratataa uuuh! (mfano wewe) x4 okey nikiss nichum mwaah! bebe nikiss nichum mwaah! baby girl i say nikiss nichum mwaah! bebe nikiss nichum mwaah!...
(beat)
Similar Songs
More from Moco
Listen to Moco Mwaaah MP3 song. Mwaaah song from album Mwaah is released in 2017. The duration of song is 00:03:22. The song is sung by Moco.
Related Tags: Mwaaah, Mwaaah song, Mwaaah MP3 song, Mwaaah MP3, download Mwaaah song, Mwaaah song, Mwaah Mwaaah song, Mwaaah song by Moco, Mwaaah song download, download Mwaaah MP3 song
Comments (8)
New Comments(8)
RAZAKI MGAZA
Ilunga David
huu wimbo kali wadahu
Robert x2wart
ogy xanaaa
Bahati Petro Masele
freshi sanaa
khalfan mayala
iko njema saaana pamoko sana one❤
Msukuma og
iko Poa sn p1
pamoja sanah centromone tz