
Jua Kali
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Jua Kali - Gifted
...
beib×3 unaenda wapi beib
what's wrong with you unaenda wap sasa
please your beib by the way am tied of this life nimechoka fatty usinishike.... niache
eeeey aaah naliona beg linakokotwa chozi linadondoka hata akigeuka nyuma mbele anaondoka namuuliza tatizo nini ananambia unaongea sana huongei kuhusu pesa unaongea nini umeniaibisha mtaa mzima siwezi toka unatoka mzima ukirudi umezima nyuma unakokotwa hakuna unachofanya upuuzi unaropoka mbele ya mtoto hakuna unachofanya ujuzi umeondoka we was young and down but our love was so strong when you smoke get hard the smail make me see kunazima we aga so out loud focus with sad first unaniacha na crewd night damm mwanzo nikikuangalia i see the man with the good heart yo said an angel with a pretty smail now you turn to an evil lookin motherfuckin so bad playing my heart like pinpan ngekaa mbali na wewe ila siwezi you my medicine na hili league ni kati ya we na mi i swear nimekubali kufa ben the siri i don care as long as yo'll be my side i don dare
oooooh oooh oooh ooooohooooh
male:nisikilize bas moenz wangu usiondoke unajua kabisa kila siku natafuta kwaajili ako napata stress mtaani mtaani kugumu mke angu asa unavoondoka unaniacha na nani sasa nambie unavoondoka unaniacha na nani
female:ebu niache uko baki na ndoto zako ambazo hazikamiliki kila siku leave me alone nimechoka yaan we kutwa ni pombe pombe na wewe enheeeeh afadhari ata shemeji umekuja nisaidie
yeaaah
hi story itaisha vip ka mtaforce
maana mko na hasira na hasira ndo ina cost mnaitaji kua na afya ya akili coz mtawrong mengi yakufanya nazo akili ziko lonely pesa inatafutwa mama ikiisha tafuta ila moyo ukipotea shem kesho mtajuta mazuri mmeshafanya sa vipi mnakwepa shida barabara haikosi corner usiwe na uvivu ukishashiba penzi jasiri hufia kidonda mwanamke havunji ndoa mlango hauna kufuri acha kugonga acha kung'oa mwache kua high kesho mfurahi mzae watoto sometimes ukiwa na fraha ujana uchungu changamoto
see lyrics >>Similar Songs
More from Gifted
Listen to Gifted Jua Kali MP3 song. Jua Kali song from album Love & Lies is released in 2024. The duration of song is 00:02:35. The song is sung by Gifted.
Related Tags: Jua Kali, Jua Kali song, Jua Kali MP3 song, Jua Kali MP3, download Jua Kali song, Jua Kali song, Love & Lies Jua Kali song, Jua Kali song by Gifted, Jua Kali song download, download Jua Kali MP3 song