Nakupenda
- Genre:R&B
- Year of Release:2024
Lyrics
Najiona niko peponi penzi lako mama linanpotosha
Majeraha sina moyoni daktari wangu umenponesha
Natapata raha mpaka sioni penzi ni upofu umenipotosha
Najiona bado nipo ndotoni jinsi penzi lako linavo nkoosha
Yani kama vile una una una unaizidisha punguza kidgo
na una una unawafunika watoto wakibongo
Oooh ma ex piga kule piga piga kule piga kule
Kaa mkao tule tupakue tupakule
Acha nitangaze leo wajue nakupenda nakupenda
Anywhere yu go nami nitakapo kwendaa nakupendaaa aaaaa
see lyrics >>Similar Songs
More from Triker
Listen to Triker Nakupenda MP3 song. Nakupenda song from album Nakupenda is released in 2024. The duration of song is 00:03:22. The song is sung by Triker.
Related Tags: Nakupenda, Nakupenda song, Nakupenda MP3 song, Nakupenda MP3, download Nakupenda song, Nakupenda song, Nakupenda Nakupenda song, Nakupenda song by Triker, Nakupenda song download, download Nakupenda MP3 song