![Huu Mwaka](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/01/40/rBEeMVfyOniAb5lWAAD8sD324jw703.jpg)
Huu Mwaka
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2015
Lyrics
Huu Mwaka - Jaguar
...
lazima huu mwaka ni washangaze
lazima nipate
aliewapa nami atanipa huu mwaka lazima nami lazima nipate
wanasema maskini ni mtumishi wa tajiri
miaka iliopita maisha yangu kajawa na giza tototoro
nimetamani maisha mazuri kutoka utotoni
nyumba nzuri gari nzuri kazi nzuri pia familia
lazima huu mwaka ni washangaze heya heya
siku za songa miaka za pita na bado niko pale pale
see lyrics >>
Similar Songs
More from Jaguar
Listen to Jaguar Huu Mwaka MP3 song. Huu Mwaka song from album Huu Mwaka is released in 2015. The duration of song is 00:04:01. The song is sung by Jaguar.
Related Tags: Huu Mwaka, Huu Mwaka song, Huu Mwaka MP3 song, Huu Mwaka MP3, download Huu Mwaka song, Huu Mwaka song, Huu Mwaka Huu Mwaka song, Huu Mwaka song by Jaguar, Huu Mwaka song download, download Huu Mwaka MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
Le De Generalc8bma
lazma nipate
Were cedrick
huu mwaka mungu atusaidie
Huuu mwaka lazima nitoboe?