![Huu Mwaka](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/01/40/rBEeMVfyOniAb5lWAAD8sD324jw703.jpg)
Huu Mwaka Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2015
Lyrics
Huu Mwaka - Jaguar
...
lazima huu mwaka ni washangaze
lazima nipate
aliewapa nami atanipa huu mwaka lazima nami lazima nipate
wanasema maskini ni mtumishi wa tajiri
miaka iliopita maisha yangu kajawa na giza tototoro
nimetamani maisha mazuri kutoka utotoni
nyumba nzuri gari nzuri kazi nzuri pia familia
lazima huu mwaka ni washangaze heya heya
siku za songa miaka za pita na bado niko pale pale
kama simba nimeamua liwe liwalo sili nyasi
iwe mvua iwe jjua simba hali nyasi
penye nia pana njia haijalishi kule nimetoka
nishaamua ninachotaka eeh
nami lazima nipate nipe uzimma nipe uhai mola
nmeamua sifi moyo mola lazima nipate
aliyewapa nami nipate
?