![Asante](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/26/26d56d92cefe4b26bd5a085e67586699_464_464.jpg)
Asante
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Najua nimengi umetenda juu yetu mwaka huu matendo yako ayaeleweki baba ni makuu vita zetu nyingi umepigana wewe ni mshindi na ndo mana kila atumainie jina lako anakua mwanafunzi na kwa nguvu zako mwaka unaisha vema
Nasio kwamba sisi ni wema
Oh asante baba
Asante baba asante ulio yatenda kwangu nimakubwa Asante umelinda familia yangu yote
Salama ha
Umetuepusha na majanga yote bwana
Sio kwanguvu zetu bali kwa uwezo wako najua wengi walitamani kumaliza mwaka lakini awakupata nafasi kwa neema tunaimani sisi tumeshapata nafasi hila sitoacha kusema Asante baba Asante ulioyatenda kwangu ni makubwa asante
Similar Songs
More from jumajr
Listen to jumajr Asante MP3 song. Asante song from album Asante is released in 2023. The duration of song is 00:02:07. The song is sung by jumajr.
Related Tags: Asante, Asante song, Asante MP3 song, Asante MP3, download Asante song, Asante song, Asante Asante song, Asante song by jumajr, Asante song download, download Asante MP3 song