![Chozi La Damu](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/6D/A9/rBEeMVqndvCAdDMPAACtP6MlGTc496.jpg)
Chozi La Damu
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Chozi La Damu - KMK MAKUBURI
...
watoto wa nyumba zote njooni tuungane, tuwaliilie wazaz chozi la damu, tupaze saut zetu kwa majonz na kwikwi, kwa wachache wenye huruma watatusikia, haki ya malezi bora tumenyang'anywa, urithi wa maadili tumefutiwa,
oh dunia dunia mbona unatutesa, oh dunia dunia tumkukosea nini
oh dunia dunia mbona hupend watoto oh dunia dunia sikia kilio chetu...
oh baba zetu namaa zetu tunajua mnajipenda, ingawaje tunatamani na sisi mtufikirie, mavaz mnayovaa leo yanatufundisha nini, mnafikiria nini kwa kizaz mnachokilea, msije mkashangaa dunia siku zinazokuja, viwanda vyote vya nguo vitakapofungwa.
oh kwenye chaakula cha usiku siku zote baba hayupo
oh tukirud toka shulen madaftar hamkagui eti kwa kuwa mmechoka burudani hamka
Similar Songs
More from KMK MAKUBURI
Listen to KMK MAKUBURI Chozi La Damu MP3 song. Chozi La Damu song from album Tumfanyie Shangwe is released in 2014. The duration of song is 00:10:22. The song is sung by KMK MAKUBURI.
Related Tags: Chozi La Damu, Chozi La Damu song, Chozi La Damu MP3 song, Chozi La Damu MP3, download Chozi La Damu song, Chozi La Damu song, Tumfanyie Shangwe Chozi La Damu song, Chozi La Damu song by KMK MAKUBURI, Chozi La Damu song download, download Chozi La Damu MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
officially twity
mungu tujalie kizazichetu kiwe cha kukutumikia wewe
Placidoq5rop
Dunia mbn upend watoto.., Dunia unatutesa.., Dunia tumekukosea nin..Niwimbo bora hautochuja kamwe bado unaish kizazi na kizan mungu abariki familia zetu na watoto wetu.
ponsiana sambu
naupenda sana wimbo huu Mungu awabariki walionjilisha kwa saut zenu
clara lucaslkp5c
mungu tujalie kizazichetu kiwe cha kukutumikia wewe
Winnie makuleftdoa
hakika wimbo huu unafundisha naupenda sanaa[0x1f60e]
Kavinga Taitas
napenda huu wimbo kuliko nyimbo zote[0x1f623][0x1f623][0x1f621]
Mkama TheGiant
Tuna deni kubwa kwa Watoto wetu
sweetest song ❤️❤️❤️