Heri Siku Moja
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Heri Siku Moja - Reuben Kigame
...
Ewe mungu wa majeshi, ninapenda kukaa na weee
Maskani zako zapendeza, nazikondea kwa shauju kubwa,
Heri siku moja, mbele zako kuliko siku elfu mbali na wewe, eeeh bwana nguvu na msaada wangu nitakupenda daima,,,
Moyo na mwili wako bwana vyakulilia mungu wangu,
Heri nikose vyote baba lakiniii nikupate wewe,
Heri siku moja mbele zako, kuliko siku elfu mbali na wewe, eeh bwana nguvu na msaada wangu nitakupenda daima,,,,×2
Similar Songs
More from Reuben Kigame
Listen to Reuben Kigame Heri Siku Moja MP3 song. Heri Siku Moja song from album Tulia is released in 2013. The duration of song is 00:04:04. The song is sung by Reuben Kigame.
Related Tags: Heri Siku Moja, Heri Siku Moja song, Heri Siku Moja MP3 song, Heri Siku Moja MP3, download Heri Siku Moja song, Heri Siku Moja song, Tulia Heri Siku Moja song, Heri Siku Moja song by Reuben Kigame, Heri Siku Moja song download, download Heri Siku Moja MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
Moses Malechella Mumbii
sylviad3t6q
its one of my favourites songs surely dwelling in the lords hands is good...heri siku moja kuliko siku elfu
Veefine
what a wonderful swahili worship song. keep it up Reuben Kigame
Collins thiauri
Worship is the only thing that God cannot do for himself
ephraim202
amen
Kelvin Shikuku
so great
Thanks for this worship songs .God bless u Reuben Kigame