![Baba Yetu](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/08/5C/rBEeM1qmXiOAZrigAACz9r4oO9Y159.jpg)
Baba Yetu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Baba Yetu - Reuben Kigame
...
Baba yetu wa mbinguni tunaleta sifa kwako
Wewe hulinganishwi na yeyote duniani
Mbingu na nchi zakusifu, jua na mwezi vyakutukuza
Wanyama wa pori, ndege wa angani
Sifa tele kwako Bwana
Hoiye! Sifa zetu, Hoiye! ni zako zote
Hoiye! Usifiwe, Hoiye! Milele Bwana
Tukiomba kwako Baba, sikio lako li wazi kwetu
see lyrics >>Similar Songs
More from Reuben Kigame
Listen to Reuben Kigame Baba Yetu MP3 song. Baba Yetu song from album Ombi Langu is released in 2013. The duration of song is 00:03:37. The song is sung by Reuben Kigame.
Related Tags: Baba Yetu, Baba Yetu song, Baba Yetu MP3 song, Baba Yetu MP3, download Baba Yetu song, Baba Yetu song, Ombi Langu Baba Yetu song, Baba Yetu song by Reuben Kigame, Baba Yetu song download, download Baba Yetu MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
Roda Mrema
Rodger Omondi
We bring you all praise our Lord. thank you Dad Kigame ♥️♥️
Amezing and sooo powerful