![Ni Ujumbe](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/04/E2/rBEeqFqTrVeAPeS7AACoO0MT6mE762.jpg)
Ni Ujumbe
- Genre:Gospel
- Year of Release:2014
Lyrics
Ni Ujumbe - Jose Wamapendo
...
NI UJUMBE WA BWANA
1.Ni ujumbe wa Bwana, Aleluya! wa maisha ya daima, Amenena mwenyewe, Aleluya! Utaishi ukitazama.
Tazama, ishi sasa! Kumtazama Yesu, Amenena mwenyewe, Aleluya! Utaishi ukitazama.
2.Ni ujumbe wa wema, Aleluya! Nawe shika, rafiki yangu! Ni habari ya raha Aleluya! Mwenye kuinena ni Mungu.
3.Uzima wa daima,Aleluya ! Kwake Yesu utauona.…
Similar Songs
More from Jose Wamapendo
Listen to Jose Wamapendo Ni Ujumbe MP3 song. Ni Ujumbe song from album Lango is released in 2014. The duration of song is 00:04:40. The song is sung by Jose Wamapendo.
Related Tags: Ni Ujumbe, Ni Ujumbe song, Ni Ujumbe MP3 song, Ni Ujumbe MP3, download Ni Ujumbe song, Ni Ujumbe song, Lango Ni Ujumbe song, Ni Ujumbe song by Jose Wamapendo, Ni Ujumbe song download, download Ni Ujumbe MP3 song