- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
MJUMBE - DOKC TV CATHOLIC
...
niko hapa kumhubiri bw mungu wetu aliyetuumba kwa sura na mfano wake akatuleta duniani tumtumikie ndio maana leo ninamhubiri mungu nimejitao kwake kwa ihari na kwa moyo pale palipo kama alivyo wapenda mungu .(ni mjumbe mjumbe niliyetumwa na mungu niliyetumwa na mungu niwambie matendo yake mungu mwenyenzi)*2 kamtuma mwanaye ilitusihishi na dhambi akakumbali afe yote ni kwa ajili yetu jifanyie utafiti utaacha lini dhambiil iliuwe mwanaye mwema akupendaye.(ni mjumbe mjumbe niliyetumwa na mungu niliyetumwa na mungu niwambie matendo yake mungu mwenyenzi)*2mafundisho ya mungu yanawataka mpendane muishi kama ndugu tena msibanguane tena mle na kunywa na kufurahi pamoja muwe watu wenye huruma kwa wengine (ni mjumbe mjumbe niliyetumwa na mungu niliyetumwa na mungu niwambie matendo yake mungu mwenyenzi)*2haya naenda zangu msiache kumcha mungu maana kumcha mungu ndichoc chazo cha maarifa jiwekee hazina isiyo chacha mbinguni ile siku ikifika uvikwe taji(ni mjumbe niliyetumwa na mungu niwambie matendo yake mungu mwenyenzi)*2 kumcha bw mungu ni chazo cha maarifa ni chazo kumcha bw mungu ni chazo cha maarifa nichazo kumcha mungu wetu ni chazo cha maarifa ni chazo kumcha bw nni chazo cha maarifa ni chazo (kumcha bw munguni chazo cha maarifa ni chazo)*2kumcha mungu wetu ni chazo cha maarifa ni chazo kumcha bw ni chazo cha maarifa ni chazo
Similar Songs
More from DOKC TV CATHOLIC
Listen to DOKC TV CATHOLIC MJUMBE MP3 song. MJUMBE song from album MJUMBE is released in 2023. The duration of song is 00:08:16. The song is sung by DOKC TV CATHOLIC.
Related Tags: MJUMBE, MJUMBE song, MJUMBE MP3 song, MJUMBE MP3, download MJUMBE song, MJUMBE song, MJUMBE MJUMBE song, MJUMBE song by DOKC TV CATHOLIC, MJUMBE song download, download MJUMBE MP3 song