
Nampenda
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Nampenda - Buki tz
...
Kuna binadamu nampenda mola ameumba wengi ila uyu apa me nampenda nampenda nampenda me nampenda nampenda..... mwenzenu hua sitoboi etty ipite siku sjampigia roho yangu inakwenda juu juuuju siko hoi aah hayawahusu ila nitawaambia penzi letu jamn lipo juu juuuju... ndo maana akituma massage me na ye tukichat nakuwa kama chizi kutwa me nachekacheka .. sitaki kucheat sio kama swezi ntavulia vep ye ndo anae nivesha
Kuna binadamu nampenda mola ameumba wengi ila uyu apa me nampendaaaa nampenda nampenda me nampendaaaaa nampenda nampendaa
uuuh ma promise I won't cheat you babe love me like I love you wakitudisi haituhusu penzi letu lawakela watu you can have my heart oooh my babe I love your smile mama shwashwashwi shwashwi gwichigwichi unanikosha daah
ndo maana akituma massage me na yeye tukichat nakuwa kama chizi kutwa me nachekacheka sitaki kucheat sio kama swezi ntavulia vep ye ndo anae nivesha
Kuna binadamu nampenda mola ameumba wengi ila uyu apa me nampendaaaa nampenda nampenda me nampendaaaa nampenda nampenda*2 ..... mocco genius..
Similar Songs
Listen to Buki tz Nampenda MP3 song. Nampenda song from album Nampenda is released in 2023. The duration of song is 00:03:12. The song is sung by Buki tz.
Related Tags: Nampenda, Nampenda song, Nampenda MP3 song, Nampenda MP3, download Nampenda song, Nampenda song, Nampenda Nampenda song, Nampenda song by Buki tz, Nampenda song download, download Nampenda MP3 song
Comments (9)
New Comments(9)
vellachidika
KessyAnifa
❤️❤️❤️
Jaychrix
hii ngoma naipenda sana
170417744
san kjn
Neema Shembilu
nzuri
Dawson Paschal
so cool
@i am seky._
[0x1f604][0x1f604][0x1f606][0x1f607][0x1f611][0x1f620]
@i am seky._
[0x1f631][0x1f631][0x1f631][0x1f631] wow
dizoblack
ngoma kali
vybe son❤️