- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Sina - Nedy Music
...
Laalaaalaaalaaa... Heeeeh! oooh mamaa mamaaa maamaa!! iyeleleleleleeee... "BANNY MUSIC"
Nshatanga tanga saanaa, Usiku na mchana, nkimuomba maulanaaa, isijirudieee... Goti nshapiga saanaaa, Kisa nakupenda tinaah, Maneno ya waugwana, Yasituaribieee... Kosa langu wa ni nini? Wadeka Nkikupa Maaudhiii, Huli bila jina langu! Niwepo ama ulisikieee... Soma sura ya macho yangu! Nkisema ni wewe moyoni uamini, Moja ya kasoro yangu! Kilema kupenda maishaani,
Nchange Kuni Waniite Muhuni Nikupe Ulege Wewe, Siri Ya Ndani We Wangu Mwandani Nakupendaga Mwenyewe, Nchange Kuni Waniite Muhuni Nikupe Ulege Wewe, Siri Ya Ndani We Wangu Mwandani Nakupendaga Maaamaaaa" OOOOH SINAAA OOOOH SINAAA "Nntetee" KIKUBWA JINA "Ntalinda heshima" "Ntetee" OOOH SINAA OOOH SINAAA "nntetee" KIKUBWA JINA "Ntalinda heshima" "nntetee" ........ ........ ........
Kwanza Upogo Rohoni ! Unifae Mpaka Peponi ! Kidogo Siri Ya Ndani ! Maaaa Nisitiriii ! Moyo Wangu Shata Shaataa!! Mi Naaapa Sitokwacha!! Nimeroa Chapaaa Chaaapaa!! Hata Za Mwamwaaah Wakiniitaaah !! Mapigo Ya Moyo Ya Fanana Eeeh^ Ishara Tosha Twapendana! Mi Naweee" Tusijikufarakanaa, Mileleee.. Wakapata La Kusemaaa, Ooooh Nichange Kuni Waniite Muhuni Nikupe Ulege Wewe, Siri Ya Ndani We Wangu Mwandani Nakupendaga Mwenyewe, Nichange Kuni, Waniite Muhuni, Nikupe Ulege Wewe, Siri Ya Ndani We Wangu Mwandani Nakupendaga Maaaaamaaaa" OOOOH SINAAA OOOOH SINAAA "Nntetee" KIKUBWA JINA "Ntalinda heshima" "Ntetee" OOOH SINAA OOOH SINAAA "nntetee" KIKUBWA JINA "Ntalinda heshima" "nntetee" !! Talindaaa Heshimaaa.......... ........ .........
Similar Songs
More from Nedy Music
Listen to Nedy Music Sina MP3 song. Sina song from album Sina is released in 2018. The duration of song is 00:03:23. The song is sung by Nedy Music.
Related Tags: Sina, Sina song, Sina MP3 song, Sina MP3, download Sina song, Sina song, Sina Sina song, Sina song by Nedy Music, Sina song download, download Sina MP3 song
Comments (20)
New Comments(20)
Shukranc1ih8
Shukranc1ih8
hujawah feli sili ya ndan mwanang wa ndan
![Image | Boomplay Music](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/29/d4ef5b21e9ba41e4afdcf5cc68c8b33a.jpg)
Neema sendama
Cool boy
Munilyofficial
Unajua Saaaaanaa Nedy Music! Kila Ngoma Yako Ni Kisikiliza Kaaali Na Inautofaut Na Mwenziee!
Athumani Rashidib2xob
dar unatisha ila toen motisha kwetu pia
Chobpac Chobu
[0x1f630]
Red'ik Rojah Tz
gud sn
augustinob23lb
sanaaaaaaa
Aliy Bin Abeid
big up
Drax Yr
Keep it up u are the best brooo!!!!
richard kiloloma
You are the best bro
mengoble8c
great tune
hujawah feli sili ya ndan mwanang wa ndan