![Kumbukumbu ft. Melanie Anthony](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/18/8e495a96788649498a20ec312dcbd806_464_464.jpg)
Kumbukumbu ft. Melanie Anthony
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Kumbukumbu ft. Melanie Anthony - Paul Clement
...
Mimi ni Kumbukumbu, nimekukumbusha mambo mengi,
Mengine mazuri na mengine mabaya.
Nimekukumbusha mambo mengi yal'okuvunja moyo,
Na mengine yalitonesha vidonda ndani ya moyo wako.
Kuna siku nilikuvuruga kichwa nia yangu ujiue, nikakupa msongo wa mawazo nia yangu upotee.
Nimekukumbusha mambo ambayo hukutaka kukumbuka, nikalazimisha uyakumbuke yakakuletea shida.
Nimekukumbusha watu ambao hawako duniani tena, ninajua uliwapenda sana nilitaka tu uumie
**Chorus**
Ila leo nakukumbusha ya kwamba (Mungu ni mwema, Mungu ni mwema)
Ila leo nakukumbusha ya kwamba (Mungu anakupenda, Mungu anakupenda)
see lyrics >>Similar Songs
More from Paul Clement
Listen to Paul Clement Kumbukumbu ft. Melanie Anthony MP3 song. Kumbukumbu ft. Melanie Anthony song from album Kumbukumbu is released in 2023. The duration of song is 00:04:57. The song is sung by Paul Clement.
Related Tags: Kumbukumbu ft. Melanie Anthony, Kumbukumbu ft. Melanie Anthony song, Kumbukumbu ft. Melanie Anthony MP3 song, Kumbukumbu ft. Melanie Anthony MP3, download Kumbukumbu ft. Melanie Anthony song, Kumbukumbu ft. Melanie Anthony song, Kumbukumbu Kumbukumbu ft. Melanie Anthony song, Kumbukumbu ft. Melanie Anthony song by Paul Clement, Kumbukumbu ft. Melanie Anthony song download, download Kumbukumbu ft. Melanie Anthony MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
MADELEMO GIFT
168069485
amen
keneth tx6qm
[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
KasunguMichael
Nimebarikiwa!
livera
Amen
Mungu anatuwazia mema na anatupenda,nyimbo imenibariki sanaaa