- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Mahabuba - Nandy & Aslay
...
Weka shuka kwa kitanda tuje tulale mama Naomba ulale na kanga mana nimekumic sana Tunanenepa mamaa japo pesa hatuna Wanaumia sana kila wakituona, et wanauza vocha cha ajabu wanabeepbeep tu, wanataman ningekuacha wanaona wivuwivu tu, ehh nakuita nandy ndnd Wanataka kukuteka washenz, hawajui mim nawe toka enz, Tabia zao wala sizipend kitumbua ukitia mchanga nitaumbuka mwenzako
Mahabuba nyongo mkalia INI
Tafadhali usijekunitenda watanizika mwenzako
Kuna vicent navichangachanga nitakupa mwenzako Kuku nimenasa kwenye tenga sina pupa mm niwako Ungejua sisemi silali kwakovile sihem wewe ni kiboko yangu Mahabuba nyongo mkalia INI Sinaga mwingine baba, nyongo mkalia INI Shida yangu kukuona mzima baba njaa sio tatizo Kama shida tumezoea sana baba tangu enzi hizo Wache wapark wamarange nimependa bodaboda iyee eh Ongeza mapenzi sitakuja kukumwaga baba eehh Chai kwa andaz wala sinaga shida iyeee ehh
Uniletee boga ninapomisi burger iyee ehh
Japo wengi wanaumia wakituona ng'aring'ari Wanataman furaha yetu hawapendi kushuhudia tunavizidi kwenda mbali wanataman furaha yetu Majuto majuto ni Mjukuu nikikuacha Ndo mwisho nitachekwa na watu nitaumbukaa Ungejua sisemi silali kwakovile sihemi wewe ndio kiboko yangu Mahabuba nyongo mkalia ini Sinaga mwingne baba nyongo mkalia INI Zidisha mahaba mama nyongo mkalia INI Nakupenda nyongo nyongo mkalia INI Wale walepale wanakupigia misele Basi mim na wewe tusiishi kama kambale kila MTU devu lala lalaa
Similar Songs
More from Nandy & Aslay
Listen to Nandy & Aslay Mahabuba MP3 song. Mahabuba song from album Nandy X Aslay Na Marafiki is released in 2018. The duration of song is 00:04:05. The song is sung by Nandy & Aslay.
Related Tags: Mahabuba, Mahabuba song, Mahabuba MP3 song, Mahabuba MP3, download Mahabuba song, Mahabuba song, Nandy X Aslay Na Marafiki Mahabuba song, Mahabuba song by Nandy & Aslay, Mahabuba song download, download Mahabuba MP3 song
Comments (15)
New Comments(15)
isaac Mutuab3cgz
118742409
drc mkali wetu Nandy[0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f628][0x1f628][0x1f628][0x1f628][0x1f618][0x1f618]
Mackdonald Ouko
I love u guy
Frolda Mussa
[0x1f618][0x1f618][0x1f618]iko vizur naipenda sana
Mwamini Bakari
safiiiii
athuman athuzbig
kama yote
[0x1f609][0x1f619][0x1f621][0x1f614][0x1f622][0x1f627][0x1f619][0x1f629][0x1f622][0x1f622]
athuman athuzbig
[0x1f609][0x1f619][0x1f621][0x1f614][0x1f622][0x1f627][0x1f619][0x1f629][0x1f622][0x1f622]
iko hvyo ilvyo na inabamba sana
athuman athuzbig
iko hvyo ilvyo na inabamba sana
Saidi Yasini Mhozya
safiii
deejay jojo
[0x1f626][0x1f626][0x1f626][0x1f626]
Jacob Njorogecajkg
[0x1f623][0x1f623]
Azizi Mwanyale
sana tu
hii goma naipenda sana