
Namba Moja
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Namba Moja - Paul Clement
...
kwako hakuna hasara sijapoteza muda nitakaa daima
wewe wanipa nakupa sifa mfalme wa wafalme tena bwana wa vita,mara mia umenipa na uzima
je ni nini kitanitenga mbali na wewe tena mbali na wewe bwana we ni namba moja yesu namba moja namba moja namba moja yesu yesu namba moja namba moja namba moja ohohohohohohohoh namba moja ohohohohohohohohoh
mbali tena hali ulinikuta chini taabani ukanipa tiba maishani,ukanifanyia amani wanadamu hawana tiba wala hawana dawa ya makosa ila kwako tu kwako tu nipo huru tu
Nikikuomba mkate huwezi nipa jiwe wewee nikikuomba samaki huwezi nipa nyoka nile eheh namba moja namba moja namba moja namba moja yesu namba moja namba moja namba moja namba moja ohohohohohohohohoho namba moja ohohohohohohoho
zaidi yako hakuna kwangu we ni Alfa na omega na omega zaidi yako hakuna kwangu we ni Alfa na omega na omega
Yesu namba moja namba moja namba moja yesu namba moja namba moja namba moja namba moja namba ohohohohohohohoh namba moja ohohohohohohohoh namba moja namba moja.
Similar Songs
More from Paul Clement
Listen to Paul Clement Namba Moja MP3 song. Namba Moja song from album Amani is released in 2017. The duration of song is 00:04:07. The song is sung by Paul Clement.
Related Tags: Namba Moja, Namba Moja song, Namba Moja MP3 song, Namba Moja MP3, download Namba Moja song, Namba Moja song, Amani Namba Moja song, Namba Moja song by Paul Clement, Namba Moja song download, download Namba Moja MP3 song
Comments (24)
New Comments(24)
imanidalio
Ben Vincenzo
Yesu ni namba moja Maishani mwangu [0x1f607][0x1f60e]
Dizo myama
Nyimbo inani bariki sanss
Samuel Chinyong'ole
je ni nini kita nitenga mbali nawe., wewe ni namba moja ...[0x1f641][0x1f607][0x1f623]
Caroline Apolinary dkply
my favourite ❤
Deogratias Kaloks0fi68
MUNGU akuzidishie . nyimbo zako zinanibariki Amen
Naomi gachokaf4q1r
Amen my brother
Tatu Muna
GOD bless you my brother for your work
Simon Bariga
namba mojaa
lizrabera
nimebarikiwa
nnyc bro paul
hot namba mojaaaaa