Ninalia ft Angel Benard
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Ninalia ft Angel Benard - Paul Clement
...
siku za usoni sijkujua kama haya yatatokea nilijua nifuraha kicheko hata maisha yote siamin kwamba wapenz wangu wamelala hamtaamka tena hata mile yoote
ninakuita mama amka japo dakika moja nikubus japo sekunde moja nikuone japo sekunde moja niku age ninakuita mama japo dakika moja nikubus japo dakika moja nikuage eee eeiiieee
ninalia nataka kuongea nawewe mam japo kwa dakika moja
natamn kam ningejipata dakika moja nikueleze kiundan vile ambavy nakupenda natamn Kam ningejipata dakika moja japo nisem asante mbele ya uso wako nakumbuka mapenz yako nakumbuka furah nawe ulivyo nikumbatiaaa pale nilipo liia nakumbuka vicheko nawe nitaniane nann oh ninalia nasiwez rudsha dakika tano tuuuu
Similar Songs
More from Paul Clement
Listen to Paul Clement Ninalia ft Angel Benard MP3 song. Ninalia ft Angel Benard song from album Amani is released in 2017. The duration of song is 00:05:13. The song is sung by Paul Clement.
Related Tags: Ninalia ft Angel Benard, Ninalia ft Angel Benard song, Ninalia ft Angel Benard MP3 song, Ninalia ft Angel Benard MP3, download Ninalia ft Angel Benard song, Ninalia ft Angel Benard song, Amani Ninalia ft Angel Benard song, Ninalia ft Angel Benard song by Paul Clement, Ninalia ft Angel Benard song download, download Ninalia ft Angel Benard MP3 song
Comments (42)
New Comments(42)
Nebert Wobusobozi mqrm1
Beston Mundupanja
nice messg
Elizabeth Mpwepwa
Natamani kuongea nanyi wazazi wngu Baba na Mama hta kwa dakika moja
Francis Efrahimu
ubarikiwee sana kaka
Gabrielez27a
blessed
Gabrielez27a
yaan siku zauson sikujua✔️✔️✔️✔️
Lil dney
kali sana
Massawe Mbula
My two favorite Tanzanian artists ❤️ powerful song. Nataka kuongea na wewe Baba
Recho Lazarobhtyw
Ameni
MgasaGeorge
cool
Emmanuel Enock3sew
undisputed artists of our generation
kawakumbuka wazazi....wimbo mzuri