Nishapenda
- Genre:Afro Soul
- Year of Release:2023
Lyrics
Mmmh sam tz oooh lalalala oooh lalalaa oooh lalalalaaaaaah Mmmh. Mwendo wako taratibuuuu wakimarigo mimi na wewe tumezoeanaaa Mmmh mmh tena me kwakokunguru tena mweweee mim na wewe tushapatanaaa Mmmh Mmmh hatauwe kwenye ngizaa unangaaaaa baby me niwakooooo me kwako nishafikaaaaa Mmmh Mmmh unakasura kazurii baby wanakuonajee eeh unakashepu kazuri mchumba wanakuonajeee onaaa nishapenda kanipenda nishapenda kanipenda heeee nishapenda kanipendaa nishapenda kanipenda oooh lalalalaaaaa. Me do baba nawee do mama tunapendanaaa tunaelewana oooh baby me kipofu wamapenzi kwakooo sioni kwingine niwewe tu mama Mmmh Mmmh hata uweeee kwenyegiza unagaaaa baby me niwakoooo me kwako nishafikaaa Mmmh Mmmh unakasuraa kazuri baby wanakuonaje eeh unakashepo kazuri mchumba wanakuonje oooh nishapenda oolalalala kanipenda olalala nishapenda oooh baby kanipenda oooh lalalaaaaa nishapenda oooh miee kanipenda mmmh
Similar Songs
More from Sam tz
Listen to Sam tz Nishapenda MP3 song. Nishapenda song from album Nishapenda is released in 2023. The duration of song is 00:03:06. The song is sung by Sam tz.
Related Tags: Nishapenda, Nishapenda song, Nishapenda MP3 song, Nishapenda MP3, download Nishapenda song, Nishapenda song, Nishapenda Nishapenda song, Nishapenda song by Sam tz, Nishapenda song download, download Nishapenda MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
sam tz 1
nzuri MashaAllah
Jasmen [email protected]
nzuri MashaAllah
Asante sana