![Upo Single?](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/25/dc6453940f3243d5b8768b5611ad7f9b_464_464.jpg)
Upo Single?
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Upo Single? - Rayvanny
...
wambea andaeni bando fungeni mitambo na ma ex mkae kando Mungu amenipa pambo mwanamke anakasoro ukimpendaaa mwanamke anagamapungufu ukimpendaaa ilo komwe ataficha na wigi umbo so lazima kuzidi iyo rangi ameridhi kwa bibi kwann ajichubueee mbaya kwenu kwangu ni ua ridi atakama sauti zumaridi nimeoa mimi wala sio kijiji kwaio msinisumbueee eti mbona hana shape(ni wako embu acha shobo) eti mbona avutiii(ni wako nasema acha Shobo) mbona ni mfupi( ni wako embu acha Shobo) eti mbona ni mbaya(ni wako nasema acha Shobo) upo single( hapana nimempata wangu) yuko wapi( muone mzuri twaendana) upo single(hapana nimempata wangu) yuko wapi yuko wapi (muone mzuri twaendana) nafuraaaaaa sikuiz nacheka sana ata shavu limetoka nimejipata majerahaaaa mambo yakunyanyasana ngozi ili kongoroka sasa nimetakata napewa maanjumati maziwa fresh nilipokula matunda napewa kesi anavyonijali utasema nurse( Aaaah shemeji yenu kiboko) usiku nalazwa mapema sina stress na amshwa na vibunda ma cash cash poleni ma ex ex kina desh desh ( Aaaah shemeji yenu kiboko) ona make up kwa sura,( eeh nan kasema ajapendeza) nguo zimenyooka ka rura( eeh nan kasemaaaa ajapendeza) nywele mtindo koma Ashura( eeh nan kasema ajapendeza) basi geuka kidogo ka chur(eeh nan kasema ajapendeza) upo single( hapana nimempata wangu) yuko wapi( muone mzuri twaendana) upo single(hapana nimempata wangu) yuko wapi yuko wapi (muone mzuri twaendana)
Similar Songs
More from Rayvanny
Listen to Rayvanny Upo Single? MP3 song. Upo Single? song from album Upo Single? is released in 2023. The duration of song is 00:03:47. The song is sung by Rayvanny.
Related Tags: Upo Single?, Upo Single? song, Upo Single? MP3 song, Upo Single? MP3, download Upo Single? song, Upo Single? song, Upo Single? Upo Single? song, Upo Single? song by Rayvanny, Upo Single? song download, download Upo Single? MP3 song
Comments (53)
Top Comments (1)
Music Promo Num 1
New Comments(53)
Naomi Naomyxestk
great vanny
176964696
Nice lyrics
CKLDEVNV
iko sawa ningependa unifundishe kuimba
173867541
So good
ILoveArusha
exactly it's awesome and almost finee[0x1f641][0x1f641]
alex Kasanda48iqj
alexandar
141543689
Sana bro
Paul Wangariab0pb
[0x1f641][0x1f641][0x1f641]
Zainab Mwadime
[0x1f641][0x1f641]
Deiro Dm
[0x1f63b][0x1f63b][0x1f63b][0x1f63b][0x1f63b][0x1f63b][0x1f63f]
Here We Goooo>