![Nani Ajuaye](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/65/FD/c828499d1dda44f9a4298d91e363d8b1_464_464.jpg)
Nani Ajuaye
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2013
Lyrics
Nani Ajuaye - Martha Mwaipaja
...
"Nani ajuaye( x2) Maumivu ya pito langu ni nani ajuaye . Nani awezaye (x2) Yabeba maumivu ya mtu ni nani awezaye . Nani awezaye (x2) Yabeba yakutesayo ni nanii. Nani ajuaye( x2)Maumivu ya moyoni mwako ni nanii" Umesema na wangapi , umeeleza wangapi nani ameweza kukusaidia. Umesema na wangapi , umewaeleza wangapi nani kawezaa kukusikiliza. Asipokusikia Mungu asipotenda mwenyewe ni nani awezaye kukutendea. Asipotenda Baba,asipojibu Mungu nani awezaye kukusikiaa. (Ni nani ni nani)>"kiitikio " Wakati wa Yesu kwenda msalabani,aliketi na wanafunzi wake akasema ; Roho yangu ina huzuni kiasi cha kufa,Mwana wa Adamu aenda kama alivyoandikiwaa, Akasema twendeni wote tukaombee wanafunzi wakalala wakamwacha pekee yakee, Akasema Yesu,ombeni namiii, ombeni namii Ombeni namiiii. kwa sababu wanafunzi hawakujua maumivu ya Yesu,wote wakalala wakamwacha pekee yaaakee . Akarudi kwao akasema tena hamjaomba nami hata saa mojaaa tuu, ombeni pamoja nami Moyo wangu unasononeka wanafunzi hawakuweza kuyabeba maumivu ya Yesu .
Similar Songs
More from Martha Mwaipaja
Listen to Martha Mwaipaja Nani Ajuaye MP3 song. Nani Ajuaye song from album Ombi Langu Kwa Mungu is released in 2013. The duration of song is 00:08:07. The song is sung by Martha Mwaipaja.
Related Tags: Nani Ajuaye, Nani Ajuaye song, Nani Ajuaye MP3 song, Nani Ajuaye MP3, download Nani Ajuaye song, Nani Ajuaye song, Ombi Langu Kwa Mungu Nani Ajuaye song, Nani Ajuaye song by Martha Mwaipaja, Nani Ajuaye song download, download Nani Ajuaye MP3 song
Comments (19)
New Comments(19)
Venelanda Magwaja
unanibariki sana mungu awe nawe
169532761
Ubarikiwe sana
![Image | Boomplay Music](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/07/0cab9b18c63648049466f66940cc1829.jpg)
Joachim Makungu
hkun
ANJELITA KIGALA
nafarijika sana
debora30g6o
nafalijika
emimakiga9
ubarikiwe sana
tiluge5y8
inflence songs kwl akun anae maumv unay pitia
Veronica Besth0563
love
getrudavapf6
amen unanibariki san
amina