![Tuliko toka ni mbali](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/65/FC/rBEeMVpRRruAc_NfAACX7QbizXw278.jpg)
Tuliko toka ni mbali
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2009
Lyrics
Tuliko toka ni mbali - Martha Mwaipaja
...
Tulipotoka ni mbali ni mungu katutoa na kule tunapokwenda atatufikisha wengine tusinge kuwa tulivu ila mkono wa aliyetufikisha hapa atatufikisha tuendapo tulipotoka n mbali sana ni mungu katutoa na kule tunapoenda atatufikisha wengine tusingekuwa tulivu ila mkono wa mungu aliyetifikisha hapa atatufikisha tuendapo
Verse2
Hatuna shaka na mungu katutoa
aliyetutoa mbali hawezi kushindwa kutufikisha tuendapo
tumaini la wengi kimbilio la wengi
kila aliyemkimbilia amekuwa salama kiongozi mwema wa safari tuliyo nayo tukipotea njia yeye ni mchungaj mwema tunatiwa moyo na wana israel walipoikosa njia mungu alifanya njia tunatiwa moyo na mtu wa mungu danieli ndani ya tundu la simba mungu akamuokoa tunatiwa nguvu na mtu wa mungu elia katikati ya miungu
Similar Songs
More from Martha Mwaipaja
Listen to Martha Mwaipaja Tuliko toka ni mbali MP3 song. Tuliko toka ni mbali song from album Kwa msaada wa Mungu is released in 2009. The duration of song is 00:07:34. The song is sung by Martha Mwaipaja.
Related Tags: Tuliko toka ni mbali, Tuliko toka ni mbali song, Tuliko toka ni mbali MP3 song, Tuliko toka ni mbali MP3, download Tuliko toka ni mbali song, Tuliko toka ni mbali song, Kwa msaada wa Mungu Tuliko toka ni mbali song, Tuliko toka ni mbali song by Martha Mwaipaja, Tuliko toka ni mbali song download, download Tuliko toka ni mbali MP3 song
Comments (9)
New Comments(9)
149544671
Paul
so good and also a very nice song
Rehema Ngolle
good song
140564413
ni kweli
102274264
good song
Wambua Mwangangi
hakika tulikotoka ni mbali,,,very sweet song
Pyusy Faustini
naiomba
Amina