- Genre:Singeli
- Year of Release:2023
Lyrics
Mapenzi - Mzee Wa Bwax (TZ)
...
Wanangu alo Acha Ka Achwa ka achwa tena yana yana chosha mapenzi
Kawaida Ma Ex kuludiana Yana chosha Mapenzi
Oooooh Ooooh MambO ya ku Umizana me mwenzenu Si yaweZi ...
Ku toana machozi kwa Sababu Ya Mapenzi
Oooh Mapenzi sio muziki ku sema uya ingie ucheze
na tena usiombe unae mpenda umu potezee
Eebwana Mapenzi vita mimi bora ni jiongeze ni ende bar ni agize shisha na tungi niji pongeze
ki nachofanya ni chukie mapenzi makabila
kuachika na zai lissa ku dai Talaka siku hizi
mapenzi yamegeuka mapicha picha akia mungu na kwambia ukiji changanya umekwisha
see lyrics >>Similar Songs
More from Mzee Wa Bwax (TZ)
Listen to Mzee Wa Bwax (TZ) Mapenzi MP3 song. Mapenzi song from album Mapenzi is released in 2023. The duration of song is 00:03:54. The song is sung by Mzee Wa Bwax (TZ).
Related Tags: Mapenzi, Mapenzi song, Mapenzi MP3 song, Mapenzi MP3, download Mapenzi song, Mapenzi song, Mapenzi Mapenzi song, Mapenzi song by Mzee Wa Bwax (TZ), Mapenzi song download, download Mapenzi MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
Frank Esterovcml
alfa fute
haaaaaaaaàaaa
Baraka Kiome
noma
Lean1a4ac
ngoja na mm niisikilize maana daa mapenzi noma
Dj Baffy
Hii ngoma mbona imeisha mapema
mrsinia
Hit verified...[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
louner tzei8me
jiweeee
dude mzee