- Genre:Alternative
- Year of Release:2023
Lyrics
Ninakuhitaji - The Gifted Singers Ministers
...
Nimegundua Bwana, ninakuhitaji, sina wa kutegemea kamwe ila wewe tu, sina mbinguni wala duniani, mfariji, Ila ni wewe tu, Bwana , nakuamini
Ukiniongoza wewe, nitakwenda salama, siwezi tembea pekee yangu, Pana dhoruba, tuliza bahari, najua waweza, kila siku, saa nakuhitaji
Mungu baba nakuhitaji, mungu mwana nakuhitaji roho mtakatifu niongoze malaika nawahitaji mbele na nyuma wanizingire mungu uu nakuhitaji
Njia zangu, Bwana, japo ni finyu,Kwa nguvu zako mie, nitasafiri tu, neno moja tu toka kwako nitakuwa sawa, nena rohoni Kwa upole,
Imani kama ya ibrahamu naitamani, niongeze na Ile ya danieli nitakuwa sawa, nisikize niombapo, rabii maulana, neema yako nijazie sitalalama
Similar Songs
More from The Gifted Singers Ministers
Listen to The Gifted Singers Ministers Ninakuhitaji MP3 song. Ninakuhitaji song from album Kubali Kutumika is released in 2023. The duration of song is 00:06:25. The song is sung by The Gifted Singers Ministers.
Related Tags: Ninakuhitaji, Ninakuhitaji song, Ninakuhitaji MP3 song, Ninakuhitaji MP3, download Ninakuhitaji song, Ninakuhitaji song, Kubali Kutumika Ninakuhitaji song, Ninakuhitaji song by The Gifted Singers Ministers, Ninakuhitaji song download, download Ninakuhitaji MP3 song