Unanipenda
- Genre:Soul
- Year of Release:2023
Lyrics
Unanipenda - Dee Classic Africa
...
Dee Classic Africa
Hellow ah, vipi ile mimba yangu uliitowaga maana penzi lako ndo linanifanya nakuwaza
Kila nikipiga simu zangu haupokei why? Ah,naomba unambie kosa langu liko wapiii...
Wamekudanganya wenye magari na fedha wamekuchukua aaaah, yale yote niliyotenda kwako mama umepuuzia ah, Riziki mafungu mbili wenda kesho ntapata naomba ulitambue hilo
Ata kama masikini punguza dharau maana kesho yetu ni fumbo!!!
Umeeeeenifanya me naleeeeewa!! Kwa peeeeenzi lako me nadaaaaata!!
Ah,Ah,Najua unanipenda ata kama umeondoka
Ah,Ah,Najua unanipenda ata kama umeniacha
Ah,Ah,Najua unanipenda tuu ata kama umeondoka
see lyrics >>Similar Songs
More from Dee Classic Africa
Listen to Dee Classic Africa Unanipenda MP3 song. Unanipenda song from album Unanipenda is released in 2023. The duration of song is 00:03:14. The song is sung by Dee Classic Africa.
Related Tags: Unanipenda, Unanipenda song, Unanipenda MP3 song, Unanipenda MP3, download Unanipenda song, Unanipenda song, Unanipenda Unanipenda song, Unanipenda song by Dee Classic Africa, Unanipenda song download, download Unanipenda MP3 song