![Hainaga Ushemeji](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/5F/6D/rBEeM1oyOBqAcHPDAAC1d0LepIU875.jpg)
Hainaga Ushemeji
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Hainaga Ushemeji - Man Fongo
...
ifatalt music mesen selekta.. naskia hainaga ushemej tunakulaa naskia hainaga ushemej tunakulaga naskia hainaga ushemej tunakulaa naskia hainaga ushemej tunakulaga wanangu zamu ya nan Leo zamu ya manifongo zamu yako itakuja Kesho usjali baharia.. zamu ya nan Leo..zamu ya manifongo zamu yako itakuja Kesho uskonde baharia wangu.. tamisemi..kapitaa kimeta...kapita na Tito ..kapita na mpaka pii kapita Mani fongo natamba mtaalam wa kuulamba kwa nguo za mitumba ntaendelea kutamba januar mpaka disemba natamba..natamba we mwenyewe si unajua na kama nyota haing'ai chini ya jua wanapakazia na maneno wanaponda maneno maneno hayanizushii vidonda.. napata misa na dili za uswazi naamini kigodoro hii ndo yangu kazi na binadamu bwana.. ukikaa nao hawaishi kukusifia ukiwapa kichogo kwa nyuma wanakandia Kwan bado hujajua.. mamaa.. kama ujajua na inabidi kuwazoea mama kama unajua inabidi kuwazoeaaa ilii babaaa... naskia hainaga ushemeji tunakulaa naskia hainaga ushemeji tunakulagaa naskia hainaga ushemeji tunakulaa naskia hainaga ushemeji tunakulagaa wanangu zamu ya Nani Leo zamu ya mani fongo .. zamu yako itakuja Kesho.. usjali baharia wangu zamu ya Nani Leo zamu ya mani fongo zamu yako itakuja Kesho usinune baharia wangu tamisem kapita kibeta kapita na Tito kapita na mpaka pii kapita... tamisemi kapita kibeta kapita na Tito kapita na mpaka pii kapita ..enh twende mesen selekta Baba.. dunia ya mungu vitu vya mzungu ..iyabandaa ndota..gwiita heshima kitaa kiroho Safi watu wote tupige makofii na kwa kimeta ni mitikasi apo wote tuingie Kati wache kupiga mayowee..mamaa waje waone wenyewee...aiaiai wacha kupiga mayowee..umoumo umoumo.. waje waone wenyewee mesen shika hapa..mamaa shika pale mesen shika huku..(umoumo).. shika kule mesen gusa hapa..mama gusa pale aiaiai mwanangu gusa uku..gusa kule (umoumo) naskia hainaga ushemeji tunakulaa naskia hainaga ushemeji tunakulagaa naskia hainaga ushemeji tunakulaa naskia hainaga ushemeji tunakulagaa wanangu zamu ya Nani leo zamu ya manifongo zamu yako itakuja Kesho usjali baharia wangu zamu ya nani Leo.. zamu ya manifongo zamu yako itakuja Kesho usinune baharia wangu.. tamisem kapita.. kibeta kapita. na Tito kapita na mpaka pii kapita tamisemi kapita kibeta kapita kapita..kapita ..pita.. washa Moto temeke wanazima Moto (ai.ai..ai..ai..ai) zima Moto temeke wanawasha Moto
Similar Songs
More from Man Fongo
Listen to Man Fongo Hainaga Ushemeji MP3 song. Hainaga Ushemeji song from album Hainaga Ushemeji is released in 2016. The duration of song is 00:04:56. The song is sung by Man Fongo.
Related Tags: Hainaga Ushemeji, Hainaga Ushemeji song, Hainaga Ushemeji MP3 song, Hainaga Ushemeji MP3, download Hainaga Ushemeji song, Hainaga Ushemeji song, Hainaga Ushemeji Hainaga Ushemeji song, Hainaga Ushemeji song by Man Fongo, Hainaga Ushemeji song download, download Hainaga Ushemeji MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
James Mero's Gang
Mutuaic Zac
good
JacoPolo
hainag ushemej ngom kali singeli imetulia noma san man fongo sio poa hii ni singel san asee
nasrachaya
nzur
abuujohar
gud
Hadji RamadHan
[0x1f630][0x1f630]
leo ndio nimeona maaana ya hii nyimbo baada ya shemu kupitiwa