Bwana Mchungaji wangu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Bwana ni mchungaji Nuru gizani
Yeye ni mponyaji uzima kifoni
Bwana ni mpaji wa vitu maishani
Alijitoa kwa ajili yangu Bwana
Akanifia msalabani
Alijitoa kwa ajili yangu Bwana
Akanifia msalabani msalabani
Bwana ni mchungaji wangu nimuogope nani
Bwana ndiye mlinzi wangu nimuhofu nani
Bwana ni msaada wangu niogope nini
Nimuogope nani
see lyrics >>Similar Songs
More from Saint Carlson
Listen to Saint Carlson Bwana Mchungaji wangu MP3 song. Bwana Mchungaji wangu song from album FARAJA YA MOYO is released in 2023. The duration of song is 00:03:44. The song is sung by Saint Carlson.
Related Tags: Bwana Mchungaji wangu, Bwana Mchungaji wangu song, Bwana Mchungaji wangu MP3 song, Bwana Mchungaji wangu MP3, download Bwana Mchungaji wangu song, Bwana Mchungaji wangu song, FARAJA YA MOYO Bwana Mchungaji wangu song, Bwana Mchungaji wangu song by Saint Carlson, Bwana Mchungaji wangu song download, download Bwana Mchungaji wangu MP3 song