![Nadeka Acoustic ft. Phil Kimemia](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/5B/C3/rBEeM1oo2AaAT4kiAACsXVEu5hY739.jpg)
Nadeka Acoustic ft. Phil Kimemia
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Nadeka Acoustic ft. Phil Kimemia - Guardian Angel
...
mungu wangu anapenda maskini na tajiri anapenda penda ndio maana mi nadeka Niko mikononi mwake Kila kitu kiko better.
ibilisi ananyeta Kuna watu wakicheki unabarikiwa sana wanateta anazidi kuleta mvua ya baraka na mapeta inazidi kunyesha.
asifuye mvua imemnyea namsifu just amenitendea maajabu maajabu
Kuna went dhambi wengine takatifu jua likiwaka linawawakia wote wengine tangatanga wengine waaminifu mvua ikinyesha inawanyeshae wote
ooooooh eeeeyeye
mungu wangu anapenda maskini na tajiri anapenda penda ndio maana mi nadeka Niko mikononi mwake Kila kitu kiko better.
mungu wangu anapenda penda penda sa ndio maana mi nadeka mungu wangu anapendaaa heeeiye ananipenda nadeka
nikimwita anacome through maombi anajibu ndio maana namsifu ooooooh
mungu wangu anapenda maskini na tajiri anapendaaaa penda be ndio maana mi nadeka Niko mikononi mwake Kila kitu kiko better
mungu wangu anapenda maskini na tajiri anapenda penda ndio maana mi nadeka ninadeka.aaaaaah ooooooh eeeeyeye anapenda anapenda oooyeeeeeiye.
Similar Songs
More from Guardian Angel
Listen to Guardian Angel Nadeka Acoustic ft. Phil Kimemia MP3 song. Nadeka Acoustic ft. Phil Kimemia song from album Yule Yule is released in 2017. The duration of song is 00:04:14. The song is sung by Guardian Angel.
Related Tags: Nadeka Acoustic ft. Phil Kimemia, Nadeka Acoustic ft. Phil Kimemia song, Nadeka Acoustic ft. Phil Kimemia MP3 song, Nadeka Acoustic ft. Phil Kimemia MP3, download Nadeka Acoustic ft. Phil Kimemia song, Nadeka Acoustic ft. Phil Kimemia song, Yule Yule Nadeka Acoustic ft. Phil Kimemia song, Nadeka Acoustic ft. Phil Kimemia song by Guardian Angel, Nadeka Acoustic ft. Phil Kimemia song download, download Nadeka Acoustic ft. Phil Kimemia MP3 song
Comments (36)
New Comments(36)
Muhoro
Hillary Konzolo
wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow wow
Nick Njenga
Loved it bless you
Qbec
Ndio maana nadeka niko MIKONONI mwake
Wayne fredrick
God bless you , beautiful tunes
Roshni Njoroge
this song rocks....kudos on the colllabo
StephenMburu
Guardian and Phil powerful collabo here
Clinton Kawah
Be blessed more
keshy97cl
wonderful song it's a blessing to me and also it gives me hope
Lemayian21
so amazing, can't get it off my ears.
Salome Njoroge
love it
Charity Manga
I feel blessed listening to this song
Beautiful ❤️